Baby Boy msanii kutoka Zizzou Ent akiwa kwenye pozi lakungojea aitwe stejini.
Mwanadafada
Pamba kama hivi zilikuwa zinauzwa siku hiyo ya jana kwenye show
Wadau wa tiGO wakifuatilia kila kitu kinachoendelea
Mangwear na wasanii wengine wakiwa wamepumzika wakisubiri zamu yao ifike.
1 comment:
oyaa faza choka naomba contact za huyo mwanadafada mwenye miwani hapo juu.kanibamba si mchezo plzzz choka nipe mawasiliano nae .najaa ndani ya jiji lalukuvi mwakani january.
mdau boxi for laifu
Post a Comment