22.11.13

Tuesday, December 15, 2009

SHOW TIME DODOMA..

Ukumbi ulikuwa kama hivi.

Msanii kutoka Nairobi Kenya Amani alikuwepo na alitoa show safi sana

Belle 9 msanii kutoka Morogoro.

Mashabiki kibao na huyo unayemuona hapo mbele kavaa tishet ya blue anajulikana kwa jina la Mwl. Pingili.

Dully Sykes aka Mr Misifa aka Handsome aka Brotherman

Joh Makini mwamba wa kaskazini alifanya show kali sana

Mangwear aka Cowbama alikuwepo na show yake ilikimbiza sana, jipatie album yake ya Ng'e 1982 na utajua jamaa karudi vipi.

Nonini msanii kutoka Nairobi-Kenya

Mansu-li akiwa amepozi backstage

SURA YA MBUZI.

Dully akiwa na binamu yake

Dully & Slim

Mangwear & Dully

Rey & dj choka

Quick & Ngwear

Joh Makini & Izzo B

Pozi lakufungia mwaka

1 comment:

Anonymous said...

mbona huyo jamaa slim na dully sykes wanapenda kukumbatiana kumbatiana