22.11.13

Tuesday, December 15, 2009

TULIVYOINGIA DODOMA.

Hili ndilo gari lililotumika kwa safari ya kwenda mjini Dodoma.

Slim na swahiba wake Dully Sykes

Calling....calling...

Wakati tuko kwenye gari msanii kutoka Nairobi-Kenya aliyevaa tishet ya njano Nonini, hapa alikuwa anabadilishana mawazo na wasanii wenzake wa TZ, kule nyuma anaonekana ni Joh Makini.

Baada ya kufika tukaungana kumuomba mungu.

No comments: