22.11.13

Thursday, December 10, 2009

UHURU DAY KWA MWANADADA JAY DEE PART 4.


Shairoz, Elizabeth & Zamaradi.

Watu wengine bwana swaga zao, sasa chupa ya mtoto yamaziwa yeye ananywea bia, anaitwa MC Babu Ayubu

Jafaray & Elizabeth

Eliza & Shairoz

Eliza & Moracka

Eliza & Gerad Hando

Lady Jay Dee akiwaonyesha wageni waalikwa baadhi ya picha zilizowekwa ukutani.

Hii ni meza ya dada yetu nadhani mnaona hizo tuzo.

Dada yetu Khadija Mwanamboka

3 comments:

Anonymous said...

jamani uyu eliza inakuaje!hamna m2 wa kummake make labda kwa mfano mana dah!

Anonymous said...

nimependa vitu vya eliza na shairozi. lakini kiukweli shairoz ana miguu kwa kwenda mbele

tina said...

nampenda sana mwanamboka hasa mavazi yake