22.11.13

Friday, December 18, 2009

VIDEO KUTOKA KWA Matonya - Spair Tairi


2 comments:

Anonymous said...

Safi sana matonya,nyimbo nzuri na video nzuri ya kueleweka,kweli bongo sasa mambo si mabaya huko,video imetulia ile mbaya mzazi

Louis
Sweden

Anonymous said...

Hivi kwanini hamuombi ushauri kabla ya kushuti au kukataa video kwa kuwa umelipia so kazi lazima iwe tight..ila hii video ni wewe mwenyewe Matonya particulary mavazi hayaendani kabisa na mazingira, pamoja na investment ulizotumia nk...mwisho wa viseo ndo kabisa umeharibu...hii video haijatulia...wanamuziki wa Bongo muziki ni kazi you must invest on it if you really need to catch the market