22.11.13

Sunday, May 09, 2010

KATIKA PITAPITA ZANGU JANA USIKU.

Majira ya saa 10 usiku baada yakutoka Sanaa PUB nikapitia pale Mzalendo Pub kwenye Fleva Night na kukutana na DJ Venture pamoja na mwanadada Penniel...hawa nimapacha walizaliwa tarehe moja ila kwenye mwaka mmmh DJ Venture kakimbiza vibaya mno.

DJ Venture(Clouds FM), Alex Kussaga(Clouds FM) & VJ Penniel(Channel 10).

No comments: