22.11.13

Saturday, May 08, 2010

KESHO TUNATENGENEZA VIDEO NYINGINE

Mtu mzima Joh Makini kesho anatarajia kushoot video nyingine ya wimbo unaokwenda kwa jina la Haya aliofanya na mdogo wake Nikki wa Pili. Joh ameniambia itakuwa ni mchana ila itakuwa katika location tofauti tofauti so asubuhi atanipitia ili twende wote nikachukue matukio yakuja kuwaonyesha mashabiki wake.
Video hiyo inatengenezwa na Visul Lab chini ya mtu mzima Adamu Juma.

Picha kutoka Maktaba:

2 comments:

Anonymous said...

completely useless.

jambo said...

safi sana makini kaza buti kaka ujumbe ndo kitu cha msingi achana na hizo nyimbo zaWANAO IMBA mapenzimapenzi we beleve it will be exclusive