Leo Jumamosi mtu mzima Suma Lee alikuwa na mahojiano katika radio station ya East Africa iliyopo Mikocheni katika kipindi cha Planet Bongo kinachoendeshwa na Dullah.
Katika mahojiano hayo Dullah alimuuliza Suma Lee kuhusiana na wimbo wake unaoitwa Driving Crazy aliomshirikisha Quick Rocka mbona hajaufanyia video na nimkali sana.
Jamaa akafunguka na kuelezea ukweli wote ya kwamba alikuwa hana hela na alipomfuata Adamu wa Visul Lab alimwambia anataka video na Adamu akamwambia ni shs laki 9, so Suma yeye akamwambia anatanguliza laki mbili halafu anampa tena laki 3 ndio waanze kushoot itakapoisha atammalizia laki 5 zake.
Cha ajabu anachosema Suma Lee baada yakumpa hiyo hela akawa anamcheki jamaa hapokei simu yake wala nini lakini akimtumia msg za dini hata kama imemfikia nusu Adamu anamjibu tuma tena imekuja nusu lakini swala la kushoot jamaa analipotezea.
Alipoulizwa na Dullah sasa vipi hiyo hela utamsamehe au inakuwaje..? jamaa alijibu
"Dullah hiyo hela nitaidai mpaka kiama, laki mbili nyingi ndugu yangu lazima ataitoa tu"
Mwishoni akasema video hiyo atampatia rafiki yake Kallage ili aifanye na isipotee hivi hivi, kuhusu swala la album Suma alisema album inakaribia kuisha na itakuwa na nyimbo 10 na jina la album itaitwa HESABU ZA MAPENZI, na mtu mzima Marco Chali kutoka MJ Rec ndio ataisimamia kila kitu mpaka iwe sawa kuingia sokoni.

1 comment:
CHOKA HAWA WASANII NI WA;;'NGE SANA UNAJUA NINI, HUWA WANAKIMBILIA SANA KWA ADAM THEN JAMAA AKIWAZINGUA NDIYO WANAKIMBILIA KWA KALLAGE AU KAMPUNI NYINGINE TENA KWA BURE AU BEI POA SASA HUONI NAE HUYO KALLAGE ATAKUWA MJINGA KULA MATAPISHI TENA KWA BEI POA AU BURE..CHA MSINGI KAMPUNI ZIWE NA MSIMAMO NA WASANII AINA HII KAMA NI MIMI NINGEMPIGA MILIONI MOJA ILI AKOME KUKIMBILIA HUKO KWA ADAM, NA BADO WENGI MTAPIGWA CHINI SI MLIMUONA KAMA MUNGU NA HIYO BEI KALI YAKE
Post a Comment