22.11.13

Friday, September 16, 2011

AY leo usiku KAMPALA - UGANDA ndani ya jukwaa moja na MR. FLAVOUR & SEAN KINGSTON

 
Mtu mzima AY yupo jijini Kampala kukinukisha leo usiku pamoja na wasanii kutoka sehemu tofauti tofauti. Wasanii hao nipamoja na Sean Kingston, Mr. Flavour, P.Unit, Lamyia na wengine wengi. Watu wa Kampala Uganda hapana kukosa show hii kali na yaaina yake.

No comments: