URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea video fupi ya kibao kinachoitwa ''PAKA MWEUSI'' kutoka kwa Msanii Freddy Macha.
Kibao hiki kilichotungwa na Freddy Macha wakati akiishi Mwananyamala Kisiwani mwaka 1979. Kilikuwa kati ya nyimbo zilizoimbwa katika bendi ya Sayari iliyowika Bongo na nchi za Scandinavia kati ya 1980 hadi 1984.
Kwa mikoba zaidi na video za Mtunzi huyu hebu tembelea http://www.freddymacha.com
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
1 comment:
UJINGA
Post a Comment