Baada ya kufungwa kwa miezi kadhaa Kiumbe Video and Audio imemaliza matengenezo yake na sasa ipo tayari kwa kazi za wasanii. Picha ya juu ni maalumu kwa wasanii wa kuimba.
Hapa kwa ndugu yangu panahusika na maswala ya Video na Filamu, kwa ufupi ni sehemu ya uchanganyaji picha kwa njia ya video.
Muonekano wa nje unavyoonekana...hii Studio inapatikana maeneo ya Tabata Mawenzi
1 comment:
choka hebu tuwekeni wazi tunayoyasikia mitaani,ni kweli chief kiumbe ana kundi lake la wizi linaloongozwa na Q-chillah
Post a Comment