Hussen Makata huyu ndio ilikuwa Maulidi yake na alifurahi sana na familia yake pia ambapo sherehe hizi zilifanyika nyumbani kwa Tabata Mawenzi.
Mzee mzima Makata akiwa na familia yake wakiwa na furaha tele.
Hussen akipita kwa ndugu jamaa na marafiki kuwapa mkono na kuwashukuru kwa kuja.
Sekta muhimu bwana hii hapa, daaah msosi ulikuwa mwingi hadi wakusaza..
Na me nimooooooo...chezea mimi sasa kweli swala la appetite
Hussen akitunza na wazazi
Mama na mwana
No comments:
Post a Comment