22.11.13

Thursday, September 15, 2011

New Track: sHAULIN mUSIC - oNE aFTER oNE

Bro hii ni Mix Tape yangu nayoiyandaa na hii ni ngoma moja wapo kati ya ngoma 25 zilizopo kwenye Mix Tape hiyo.
Jina la Mix Tape ni SHAULIN MUSIC. Wasanii wanaousika ni B-Gway,O-Key,Tash,Fidodido,Juru,VEEJ,Muu na Emmar.
Mix Tape imefanyika chini ya Producer Mesen Katika studio ya De Fatality International.
Lengo ya Mix Tape hii ni Kuwasaidia wasanii chipukizi ambao ni zao jipya la Hip Hop. Vilevile kuelimisha jamii kupitia
mitindo huru.
       Ngoma inaitwa One After One.

Listen and download for promo ONLY

No comments: