22.11.13

Thursday, September 15, 2011

New Track: WESU "NGOJA KUKUCHE"

Hii ni kazi kutoka kwa producer Amba wa AMBA RECORDS iliyoka Dar, anamtambulisha msanii wake mpya.
Msanii anaitwa WESU, na hii ndio kazi yake ya kwanza kutoka rasmi kwa ajili ya kumtambulisha. Wesu ni msanii anaetokea Dar.
Huu wimbo unaitwa "NGOJA KUKUCHE". Ni story ambayo inajieleza yenyewe kama ukiiskiliza kwa makini, hivyo tunaamini itaeleweka na itawagusa watu wengi kwa sababu imewakilisha maisha ya kawaida. Producer Amba anatanguliza shukrani zake kwako mdau kwa support yako.
 
CREDITS:
Tittle: NGOJA KUKUCHE
Artist : WESU
written by: YAKI & WESU
arranged by: AMBA
Produced by: AMBA
Mixed by: AMBA
Studio: AMBA RECORDS
SEPTEMBER 2011
Listen and download for promo ONLY

No comments: