22.11.13

Thursday, September 15, 2011

New Track: Tash Feat. Mensen "WARRIOR"

Niaje bro, hiyo ni ngoma ya Tash ft Mesen Selekta, track inaitwa Warrior.
Imefanyika katika studio ya De Fatality International chini ya Producer Mesen Selekta.
Huyu alikuwa mshiriki wa mashindano ya FREESTYLE Arusha na alikuwa ni mshindi wa
kwanza katika mkoa wa Arusha. Hii ni Track yake ya kwanza pia yupo Label chini ya De Fatality.
Nyimbo hii itaachiwa rasmi tarehe 16- 09- 2011 siku ya Ijumaa.

Listen and download for promo ONLY

No comments: