HIVI UNAJUA PETE ALIYOVALISHWA WEMA SEPETU NI SHILINGI NGAPI...?
Mda huu nimetoka kuongea kwenye simu na shemeji yangu Wema Sepetu pamoja na mtu mzima Diamond na kuniambia kuwa pete iliyonunuliwa inathamani ya shilling mil 3 na laki 6. Je unataka kujua ni ya aina gani na kwanini inauzwa bei hiyo?
3 comments:
kwahiyo ana ka starlet mkononi!safiiiiii
Why everytime I click Play it does Play... Help me Dj Choka :-)
haionyesh bwana dj choka hebu rekebisha basi tusikie
Post a Comment