22.11.13

Monday, October 03, 2011

SOKONI HAKUNA MASLAHI "JCB"

Album ya JCB ya pili iliyopewa jina la NAKALA ZA MAKALA VOL 2 iko tayari kabisa kuingia kwa soko, lakini tatizo soko bovu yaani hamna maslahi, so anaweza kuibania kiaina lakini hapendi kuwanyima mashabiki wake alicho nacho so anafikiria sana lakufanya alafu hapati jibu

1 comment:

Isaq Kifaluka said...

JCM I real appreciate you bulaza,kazi zako zimemakinika sana na wadau wa Muziki wa Tanzania ya leo wametambua mchango wako katika tasnia hii hapa nyumbani,Heko kwa kutwaa Tuzo Nyimbo Bora ya Hip Hop na Pia Nyimbo Bora ya Jushirikishana,tuzo zako zimekuwa faraja kwetu na ngazi ya Matumaini kwa maendeleo ya Muziki wa Kizazi kipya,Kaza Buti zaidi ya Ukisikia Paaah