Brand New Song kutoka kwa MwanaFA akiwa amemshirikisha Linah, YALAITI ambao umefanyiwa sample kutoka kwa wasanii wakongwe ambao waliutumia toka kitambo, hapa namzungumzia Siti, Binti Saad, Malika pamoja na Bibi Kidude. Wimbo huu kwenye chorus ameimba Linah na kurudia kwa melody ile ile halafu mtu mzima akadondokea. Gitaa limepigwa na mmoja wa walimu wa muziki THT anaitwa Cadinal Gento na beat imefanywa na Marco Chali kutoka MJ Rec
Isikilize YALAITI Hapa
Isikilize YALAITI Hapa
2 comments:
itakuwa imefunika mbaya acha niisake niisikie
Aaaa kuna vichwa hapa bongo huwa haviharibu kabisaaaaa toka niwasikie Binamu mwana safi sana nakukubali noma na nyimbo iko poa mbaya safi kaka kama kawaida yako umetuma roho inapenda naisubiri tu katika kichupa bado sijaiona..
Post a Comment