Esther ni mdau namba moja wa Bongo Star Link anayeiwakilisha Rock City Mwanza, na yeye leo anasherehekea sikukuu yake yakuzaliwa. Happy B,day sister i wish ningekuwa Mwanza leo nijiachie na masamaki ya ukweli.
11 comments:
Anonymous
said...
happy birthday sister wetu wa ukweli,Mungu akupe maisha malefu na uendelee hivyo hivyo na roho yako nzuri.
11 comments:
happy birthday sister wetu wa ukweli,Mungu akupe maisha malefu na uendelee hivyo hivyo na roho yako nzuri.
hongera mdada duh kumbe rock city si mchezo! du! choka huyu mdada mkali sana ni mrembo mwanzo mwisho,hongera sister.
Hongera msichana wenzangu we mzuri sana,mi napenda wewe sana,happy birthday
Hongera sister upo juu,mi huwa nakukubali sana una hela na huna maringo,endelea hivyo dada angu.
Rock city mpango mzima, mtoto ka jini vile!happy birthday
Bonge ya kitu,hao ndo madem wa kutuwekea sasa choka,siyo hao vicheche wa club au mabishoo unaotuletea kila siku humu.
Mtoto mashallah,macho midomo,Rocy city oyeeeeeeeeeeeeee!
hongera kwa siku ya kuzaliwa, choka mbona picha ya nyuma katokea mrefu kama lile ghorofa?king kong
Tuwekee contact zake.
Dah! kweli.
Kiburudisho murua no comment.
Post a Comment