22.11.13

Friday, November 18, 2011

JohnRodgers aja "tena na tena"

JohnRodgers aja "tena na tena" akiwa amemshirikisha xZunic,na kwa sasa wakiwa ni members wa kundi jipya kabisa walounda katika game litaloljulikana kama "THE A".JohnRodgers na shilah rottgers wakiwa ni rnb singers na xZunic akikamatia upande wa hiphop/rap katika ngoma zao,JohnRodgers asema "Crew letu limekuja tokana na kwamba ni watu ambao tupo karibu kila leo na mzuki wetu unaendana sana thats why tumejiunga na kujiita tha A,hapa 2me release ngoma yetu mpya "tena na tena",alosmamia defxtro wa noizmekah katika swala zima la production so enjoy,thanx kwa mashabiki zetu wote duniani kote!
  

No comments: