Leo Nimepata bahati ya kukutana na msanii kutoka Nairobi Kenya anajulikana kwa jina la NONINI nakubadilishana mawazo ya hapa na pale kuhusu muziki wetu hapa East Africa na kunipatia zawadi yenye jina langu la DJ Choka, zawadi zenyewe ndio hizo hapo shingoni nimezivaa.
No comments:
Post a Comment