22.11.13

Wednesday, November 16, 2011

Mkasi - with iRene Uwoya

3 comments:

Anonymous said...

da nimefurahia sana kumuona salama back on air,ila da fupisheni kipindi kiasi na hsi enzi za planet bongo salammaa alikuwa juu sana ,nini mbaya tena salama?nafuuatizia vpindi vyako sana toka eldoret kenya ila hiki naona ongeza ule ubunifu zaidi

Najua comrade Oabathany wa Outcome assist alikuwaga na idea ya kipindi kama hiki kabisa karibu miaka mitatu nyuma alikuwa anaizungumza kwa uhakika kuwa itashika, sasa sijui kama hiyo nayo ni copy paste ya idea au vipi, lakini Salama anajitahidi na mimi nimeipenda hii, kama ambavyo nilishaanza kuipenda hiyo idea ya Comrade Frank Obathany wa Outcome. Muhimu anayeanza kufanya kazi ndiye mmiliki halali kama hiyo itakuwa sawa.