Hii ni filamu mpya kabisa ambayo imebeba ujumbe kwa jamii yetu ya kitanzania na imepewa jina la NGOME YA LUMOLE. Filamu hii inaelezea kijana jangiri mwenye kundi la majangiri ambalo maskani yao ni vijijini lakini wanaporudi mjini hujifanya watakatifu na kuanza kuubiri maandiko matakatifu, lakini wakirudi vijijini hufanya kazi ya maua na uporaji wa mali kama magari.
Filamu hii imechezwa na wasanii wachanga na wakongwe kwenye game hili la filamu bongo, hapa namzungumzia mtu kama BIG, MAI na JINI KABULA. Wasaniii wachanga nikiwemo mie DJ CHOKA, filamu inatengenezwa na KIUMBE PRODUCTION na kumilikiwa na hao hao KIUMBE.
1 comment:
We Mkali sana Kaka
Umeshaanza Mambo ya filamu
mhm Hii Mpaka niione tuu we Acha
Nakukubali saba
Big up .
Ur #1 Fans.
Post a Comment