Si lolote si chochote,siku hizi hakuna sijui tanga wala sijui pwani,hayo yalikuwa mambo ya kizamani kwa miaka ya nyuma mademu wa tanga ndiyo walikuwa wanasifika kwa mambo ya mapenzi tena ni enzi za bibi zetu si sasa,kwa sasa makabila yote kuna wajanja tena zaidi ya hao wa tanga,na unaweza kumchukua demu wa tanga akawa bomu mpaka unajuta,hiyo ni historia kama ilivyokuwa kwa wahaya au watu wa musoma,lakini kwa sasa si hivyo.
Tanga karne hii? miyayusho tu,mi mwenyewe pande hizo hizo ila siyo, siku hizi wanaume hatutaki mapenzi ya kiswahili swahili sijui maji ya hiliki no! mapenzi ya sasa yame advance ni uzungu zaidi,ila dada zetu wa tanga wamekariri na kuendeleza uswazi so si mchongo wala nini,eti sijui udi kha!pafyum zinaletwa za nini? badilikeni dada zetu siku hizi hata makabila yasiyofundwa wanafunika mbaya tanga,misosi karibu nyumbani ila mademu zetu na dada zetu tuachie usirudie yale baikoko mzee.
4 comments:
patakuwa hapatoshi hapo maana mabinti wa kitanga hawapimika haya na wakajionee

Upo sawa kabisaa mloka
Post a Comment