Hizo picha ni baadhi tu ambazo zinamuwakilisha mwanamke wa class fulani,
1. ni mdada ambae ni corporate kwenye kampuni fulani...
2. mdada wa arusha ambae ana ela zake za madini, yaani humwelezi kitu.
3.mwanaharakati
4.dada wa town yaani its all about yeye, she is so hot,
5. mwanamichezo, ngumi, mpira
7. wadada wa town
8. mwanasiasa
9. mdada anaejitambua, ana kazi yake, dili kibao za kumwingizia, hamtegemei boyfrnd
10. mdada wa class asiyependa makorombwezo, mazagazaga, vitupio kwake
11. clubin yaani huyu hakosi disco
12. dada wa town,
13 . dada wa twn hapitwi na fasheni......
Lengo la WL ni kumkomboa mwanamke kimapinduzi, na sasa imeboreshwa zaidi, safari hii ni kwa kila mwanamke,
MWANAHARAKATI, MWANASIASA, MJASIRIAMALI/ BIASHARA, MWANAMICHEZO, CORPORATE CLASS, WAAJIRIWA, MAMA WA NYUMBANI, MADADA WA TWN, wooooote inatuhusu sanaaaaa....
1 comment:
safi hiyo nimeipenda
Post a Comment