22.11.13

Saturday, November 05, 2011

Yaliyojiri jana pale Club La Casa Chika TANGA

Kwa steji ni msanii kutokea Tanga anajulikana kwa jina la Roma akikamua kwenye Club hiyo, kabla ya Roma alipanda Linex na kupigiwa shangwe zakutosha.

No comments: