22.11.13

Saturday, April 07, 2012

STEVEN KANUMBA HATUNAE TENA DUNIANI

Habari zilizonifikia now ni kuhusu Bongo Movie Star Steven Kanumba kuwa amefariki dunia usiku huu kwa kudondoka gafla na kukimbizwa hospital ya Mwimbili na mauti yalipomkuta. 
Ndugu wanasema baadae asubuhi ndio watatoa taarifa rasmi

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Amen

20 comments:

Anonymous said...

Dahh mbona siamini hizi habari....may his soul RIP amen!

Bufa said...

Dah! can't believe this, KANUMBA kafariki? Kwakua tulitoka kwa udongo basi udongoni tutarudi, RIP KANUMBA THE GREAT.

Jb said...

OMG bdo siamin amin,ni pengo kubwa sana....may ur soul RIP Steven Kanumba

tippin said...

its nat a game,,life z unpredictable!!

Anonymous said...

Kanumba god .........rip.

Anonymous said...

RIP kanumba u were a best actor we will olwez remember u.

Anonymous said...

jamani bado siamini nahitaji kujua details zaidi!

anderson nziku said...

mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu

Paullucian36 said...

Mungu ailaze roho yakemahali pema peponi KANUMBA

Anonymous said...

Maskini I cant believe this...kweli kifo hakichagui

babyliciouse said...

R.I.P KANUMBA....BEST ACTOR

babyliciouse said...

R.I.P KANUMBA...BEST ACTOR

Anonymous said...

R.I.P KANUMBA....BST ACTOR

Anonymous said...

Jamani alisukumwa na binti mdogo tu lulu akaanguka ndipo umauti ukamkuta. RIP kanumba! Tutakumiss sana hero wetu

Anonymous said...

Mh! Mungu katoa na bwana ametwaa jina lake libarkiwe. Mungu awape moyo wa uvumlivu wanafamilia! Chanzo ni nin jaman?

Anonymous said...

It was jah will not lulu may jah rest him in peace.we shud be 2gether in dis moment of sorrow.

Anonymous said...

Ee mungu,siku zako hazina mwisho na rehema zako hazna idadi....!!rest in peace our brother KANUMBA.....

Anonymous said...

This is both shocking and disappointing esp considering the 'rumoured' cause of his death. What a talented young man was Kanumba! May God rest his soul in peace!

Anonymous said...

aisee, hakika safari ni yetu wote,Mungu amlaze mahala pema peponi, ameeen, dah mshikaji ametangulia hakika safari haina mmoja, haichagui mtoo,kijana wala mzee, lemmy aliimba haswa hile nyimbo ya kifo hakina huruma.

Anonymous said...

Mmmh kweli si ni mavumbi na mavumbini tutarudi REST IN PEACE OUR GREATEST ACTER STEVEN KANUMBA.