22.11.13

Saturday, April 07, 2012

KANUMBA AMEACHA GUMZO KWA WAPENZI WA FILAMU TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.

 Ni alfajiri kabisa kama saa 12 hivi watu wengine wakiwa ndio wanaamka na wengine wakienda kulala na kupata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi chao kwenye tasnia ya filamu hapa bongo Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatcan. Chazo kinasema Kanumba alitoka kuoga na kumkuta Lulu ambaye inasemekana ni wapenzi akiongea na simu ndipo hapo ugomvi ulipoanzia mpaka kanumba kujikuta akidondokea kisogo na kutokwa na damu nyingi. Kwa sasa msanii wa kike Lulu anashikiliwa na police kwa maelezo zaidi

Watu wakiwa hawaamini kilichotokea 

 Hata mimi ilikuwa ngumu kuamini kwasababu nilikuwa nachat nae kwenye BBM hadi usiku na kumuuliza sikukuu hii bata tunalila wapi, halafu msg ya mwisho aliniambia kuwa anataka na mimi siku moja niingie kwenye filamu yake daaah.

Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu 

Rafiki mkubwa wa marehemu anaitwa Tito yeye ndio alikuwa na mwili wa marehemu hadi hosp ya Mwimbili  

Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV  

 Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini

H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehe Steven Kanumba 

Steve Nyerere akiwasili nyumbani kwa marehemu akiwa kwenye majonzi mengi 

Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingi 

10 comments:

Anonymous said...

O.M.G... Sasa nimeamini.. Jamani why him!!? Rest in Peace Kanumba The great

Anonymous said...

NIMEPOKEA TAARIFA HIZI KWA MASIKITIKO MAKUBWA, STEVEN ALIKUWA MTU WA WATU NA MFANO MZURI KTK MAPINDUZI YA MOVIE TANZANIA...R.I.P KANUMBA.
SOLOMON LAMBA ( EMPTYSOULZ PRODUCTION )

Anonymous said...

R.I.P STEVEN KANUMBA

Anonymous said...

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!

Unknown said...

pole kwa mafans wote wa kanumba.. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

Unknown said...

R.I.P kanumba

OMAR SEBO said...

R I P KANUMBA

OMAR SEBO said...

R I P KANUMBA

OMAR SEBO said...

R I P KANUMBA

Baya King Jr said...

Kwa heri kanumba ulale mahari mapema peponi