22.11.13

Saturday, April 07, 2012

WIMBO MAALUMU KWA MAOMBOLEZO YA STEVEN KANUMBA - MOYO WA SIMANZI

Hawa ni vijana ambao usiku huu wameamua kuingia studio ya Magic Star iliyopo Sinza na kutunga wimbo huo uliopewa jina la MOYO WA SIMANZI. Kuanzia kushoto ni Producer Cristone, anayefuata ni msanii ambaye kaimba wimbo huo Y-Tone, Producer aliyemix wimbo Ada X pamoja na Hyper Man HK yeye ameingiza maneno ya mwisho. 

No comments: