22.11.13

Monday, January 07, 2013

(Audio) Bob Junior - Kizembe

10 comments:

Anonymous said...

this is first cool music for me in this year 2013

Anonymous said...

UMETISHA KIJANA HUNA MPIZANI HAPO BONGO,DJ CHOKA NENDA BAC AKAKUTENGEZEE BEAT AFU UCHARAZE MISTARI ILA MARA HII MSHIRIKISHE MSANII M1 TU TENA AWE MUIBAJI.

Anonymous said...

UKO JUU BOB JUNIOR

Anonymous said...

WOW BOB UMETISHER SANA,NICE SONG 2013 UMEUANZA NA BALAA

Anonymous said...

jamaa ni handsome wa nguvu lol.

Unknown said...

mia mia hapo mwana

Anonymous said...

hii picha ina maana kubwa nusu producer nusu muimbaji,umetisha RAISI WA MASHAROBARO

Anonymous said...

SIKU ZOTE NIKISKIA PRODUCER ANAIMBA NONA ANAJIFURAHISHA VILE STUDIO SI NIYAKE LKN BOB JUNIOR ANAIMBA TENA ANAKIPAJI KIKUBWA EBU ANGALIA LAMAR,MAN WATER,HUYU WATER ALITOA NYIMBO NILICHEKA,NA WENGINE WENGI WAMEJARIBU NADHANI HAWAKUPATA HATA SHOO 1,SASA ANGALIA WW UMEPATA SHOOO NGAPI? UMSANII MKUBWA UNAEFUKUZANA NA ALI KIBA,DAIMOND,OMMY DIMPOZ,RICH MAVOCO HUWEZI KUTAJA WASANII 5 WANAO FANYA POA KWA SASA WW USIWEMO,LKN SASA NYIMBO ZOTE UNATAKA KUWA PRODUCER MWENYEO?INABIDI NYIMBO ITAYOKUJA UIFANYE STUDIO NYENGINE,AU UNAHISI UTAISHUSHA STUDIO YKO?SIO KWELI KILA MTU ANAJUA UNAJUA KUPRODUCER NYIMBO VIZU COZ UMETOA HIT ZA WASANII KIBAO, UNAENDA STUDIO NYENGINE ILI KUWAPA LADHA TOFAUTI FANS WAKO,ILI USICHUJE UPESI,NA KUIMBA NDO KUNAKULIPA ZAIDI KULIKO KUPRODUCER AU SIO?TENA PLZ USIJEACHA KUIMBA UMEJAALIWA TALENT.

Unknown said...

umeonaeee@anony lazima aeleweke uyo ndo presidnt

Anonymous said...

We noma upo sawa ile mbaya hakuna cha diamond wala nini upo juu kaka sanaa