22.11.13

Wednesday, January 02, 2013

Pumzika kwa amani JUMA KILOWOKO aka SAJUKI 2.1.2013


14 comments:

Gotard Miyonjo said...

kazi ya Mungu imetimia......R.I.P SAJUKI

Anonymous said...

Bwana ametoa,Bwana Ametwaa,MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YAKO.

Anonymous said...

Kila nafsi itaonja mauti.
Na mauti ni mawaidha kwa walio hai wanao mcha mola wao.
Mola wetu, msamehe, umrehemu, umjalie malazi mema.

Anonymous said...

rest in hell sajuki and all bongo wasanii coz u are against ALLAH rule and law

Unknown said...

pumzika kwa aman tulikupenda bali mungu kakupenda zaid c wez amin leo hadi kesho kama sajuki nilikuona kwenye mikasi na ukaachia burudan ya mwisho da!

Unknown said...

Jembe lime tutoka

Unknown said...

pumzika kwa aman tulikupenda bali mungu kakupenda zaid c wez amin leo hadi kesho kama sajuki nilikuona kwenye mikasi na ukaachia burudan ya mwisho da!

Anonymous said...

Huwezi kusema mtu arest in hell coz ww sio hakimu wa wanaadamu hata Allah mwenyewe hajatufunza ivo rekebisha kauli yako

Anonymous said...

hivi mtu ukisema tu rest in peace na ukazitupia jazba zako jalalani utaumia wapi??well for him to rest in or in peace is not ur decision.kama wasemavyo mungu si athumani!!!

Anonymous said...

who r u 2 judge

Anonymous said...

usiseme rest in hell kwa wewe mwenyewe hujajiumba rudi kwa Mola wako

Anonymous said...

Huyu mpuuzi aliye post upuuzi wake kwani ulilazimishwa kucomment humu, pumbavu ndio ulivyofundishwa kwenu ndiyo nyie huwa mnakurupuka tuu, Wapi maandiko yamesema mwanadamu anaweza mpangia mtu maisha baada ya kifo????? Ni M/mungu S.W pekee ndiye mwenye kutoa hukumu na si wewe, kazi yetu ni kumuombea na si kuhukum hujui hatma yako ww kiumbe dhaiiiiifu tena dhalili mbele ya ALLAH! rekebisha kauli yako.

BTW M/mungu mrehem maiti wetu amsamehe madhambi yake ampe kauli thabiti na amuweke mahali anapostahili amin, na awape nguvu familia yake kwa ujumla.

Mdau U.S.A

Anonymous said...

huyo mbiga alosema rest in hell hawezi jua wazazi wake au ndugu au hata watoto wake watarest wapi. wangapi wako na vitabu vya Mungu kila mahali ila matendo yao ni ya kumchukiza sana Mungu? M'Mungu akusamehe na akuondolee upofu ktk fikra zako, Nakushauri waone wataalamu wa afya u must be suffering from a mental disober.

Anonymous said...

Mtu akifa faili lake lnafungw no mawasiliano na walio hai.ibada za wafu ziko kfungu gani?