Leo katika mada yetu ya kumshauri msanii tupo na msanii star wa Bongo Movie pamoja na Bongo Fleva anajulika kwa jina la HEMEDY SULEIMAN aka Hemedy PHD. Toa maoni yako sasa kipi unachomshauri ili ajitambue na aelewe mashabiki wake wanahitaji nini kutoka kwake au kipi ambacho unaona akiongeze katika sanaa yake hii ya Bongo Movie pia na kwenye Bongo Fleva
Unaweza pia kutoa maoni yako kupitia namba yangu ya SMS unaanza na kuandika DJCHOKA halafu unaacha nafasi kisha unatuma maoni yako kisha unatuma kwenda namba 15678
21 comments:
Huyu jamaa bwana me namzimia kinoma noma aisee. ila ananikera sana anakuwa anaringa kwa sisi mashabiki wake aache majivuno
Tuna wasanii wengi wanaojipenda mmoja wapo huyu PHD namkubali sana hata sina maoni
I LOVE YOU KEEP DOING WAT U DOING
UkO jUU sAna ndugu yng.. ila kuna saa unaletaga mapozi kama ya mademu acha hiyo mambo kichaa wangu NAKUCHANA
Huyu jamaa anapenda sana kupiga picha za studio hadi anafurahisha...
tokea nimjue kupitia TUSKER PROJECT FAME hadi leo jamaa amesimamia pale pale safi sana
mimi namuona kama bado mshamba..
me namshauri aache kupaka lip shine
mbona SIKUHIZI UMEPUNGUZA KUCHEZA MOVIE AU NDIO MKWANJA KWISHA
Jamaa kuna kitu kimoja tu uwa anaharibu na kupoteza fans wengi, ana mapozi ya kijinga sana mpaka uwa yanapitiliza. Ila kiukweli anajitahidi sana kwenye sanaa ya movie, bongo flava awaachie wenyewe. Nilimpa credit sana kwenye Crazy love ya kanumba.
Acha mikogo isiyokuwa na maana
Dah!!ktk watu wnye vpaji huyu jamaa mmoja wpo coz anajua anachokifanya yaan mi namrspect xana 2 but akazane game iko tight c film wala music,hyo 2
mm namshauri haache kujipodoa 2
mm namwomba haache kujipodoa 2 bac
Aumize sana kichwa kwenye kuandika mistari alafu kama aache mapozi kwa mafans wake ni hayo
Aumize sana kichwa kwenye kuandika mistari alafu aache pozi kwa mafans wake ni hayo tu nukta (.)
Good music alive
Kama huna cha maana cha kumshauri kausha inazingua mwana sa jamaa wa watu ansushamba gani? Huo wivu jifunze ku appreciate
Uko vizuri phd me nakukubali ila una pozi na swaga za kizembe mpk kwa mashabiki zk,,,,,,utapoteza ustaa ukiendelea na hiyo tabia
anamapoz zaid ya mr.blue
Kwanza music aache na ajikite kwenye movie pili aache mapozi ya kishamba ana mapozi mpaka anakera na aache kuvaa hereni
Soma hapa hemedy!!!! Wapo wengi walikuwepo na tena maarufu kukuzidi leo hii wamedoda ila wanajitahd kurudsha hadhi...mfano mmj tu Irene Uwoya wa miaka mitatu huwez kumfananisha na huyu wa leo...dharau zilizd na kuona mashabk vo kitu...ona leo anavohaha kurudisha jina... I swear to God ww kaka usipoacha mapozi utakufa kisanii.. watu wanakupenda sana tena sana..u know how to act thou kuimba hujui... take a tym...think before hali haijawa mbaya.... zipo wapi tamthiliya za kaole!????
Post a Comment