Majembe ya Kaskazini Bounako & FidoVato wanarudi tena na Hardcore hiphop Joint kwa jina "Mi Najua"
ikiwa ni mkono wa Defxtro toka Noizmekah studios, remix ya pini hili
litakuja mwezi ujao wakiwemo Mcs wengine JCB na Moplus, kwa sasa Majembe
wanajipanga na Video Kadhaa za ngoma zao hivyo mashabiki wakae mkao wa
kuburudika na kuelimika,Pata kuusikiliza wimbo huu na kudownload HAPA na kwa mawasiliano na mahojiano zaidi check na Majembe Bounako & FidoVato kupitia +255 718 396 869 au +255 783 825 519 powered by www.vmgafrica.com
No comments:
Post a Comment