22.11.13

Monday, August 05, 2013

SHAMLA SHAMLA ZA UFUNGUZI WA NEW CLUB MAISHA MBEYA ZATIKISA MKOANI HUMO. WAKAZI WA ZAMBIA WAANZA KUJISOGEZA. DVJ MAJEY & HYPEMAN HK NA XTREME DEEJAYZ WAAHIDI KUWAFANYIA SUPRISE MASHABIKI, MAANDALIZI YOTE YAMEKAMILIKA TAREHE 7 MWEZI HUU HAPATATOSHA. MH SUGU NAE NDANI!

 Na Livingstone Mkoi aliyeko Mbeya kwa sasa
Ule uzinduzi wa kiota kipya cha burudani Mkoani mbeya kilichokuwa kikisubiliwa na mashabiki wengi hatimae umefika ambapo New Maisha Club inatarajia kufungulia wiki hii kwa burudani za iana yake huku Mbunge wa Jimbo la Mbeya ambae pia ni muhasisi wa muziki wa kizazi kipya Mh Sugu akitarajia kuwepo.
Akiongea na mwandishi wetu kwenye mahojiano maalum meneja burudani wa kampuni ya Entertainment Masters Ltd Hemed Kavu HK alisema “ Ni kweli kabisa Jumatano ya wiki hii tunafanya utambulisho wa Club yetu ya New Maisha Club Mbeya ambapo maandalizi yote yamekamilika ambapo imebaki kazi moja tu kuwapa wanambeya burudani waliyokuwa wanaisubiri kwa hamu” Alisema kiongozi huyo.
 
Hata hivyo Hk aliongeza kusema kuwa katika uzinduzi huo pia wamepanga kumualika rais wa jimbo hilo la Mbeya mjini ndiko ilipo Club Maisha Mbunge kipenzi cha wakazi hao Mheshimiwa Joseph Mbilinyi “ Sugu” ili kumuarika nao “ Ni kweli tumemuandalia kadi ya muariko Mheshimiwa Sugu kwa maana moja tu ni mmoja wa waasisi wa muziki wa kizazi kipya hivyo tunaamni uwepo wake utaongeza chachu ya burudani kwa siku hiyo” Alimaliza kusema
 
Aidha mwandishi wetu alipata wasaha wa kuongea na Dj nyota  Afrika Mashariki na kati ambae anatarajia kuongoza mashambulizi ya burudani kwenye mashine “ Pioneer” Dvj Majey  a.k.a Dad “ Brother sisi kama Xtreme Jeejayz huwa hatuna maneno mengi kazi yetu moja tu kutoa burudani hivyo historia ndo hiyo kama tulivyofanya Dodoma, Dar, Mtwara na hapa Mbeya napo tutafanya vivi hivi wananchi waje tu kwa wingi watajionea balaa la  xtreme Jeejayz kwenye mashine” Alisema Dad
 
Pia Club hiyo imetoa ratiba ya burudani zote kwa wiki kama ilivyoonekana kwenye flayer hapo juu na burudani zote hizo zitaambana na disko kali toka kwa Xtreem Deejayz kila siku. 
 

3 comments:

Anonymous said...

Kumuarika nao au kujumuika nao?????
Kadi ya mwaliko,sio muariko......anyway karibuni sana

Anonymous said...

Mindu wa tbl mbeya,babz sio sehem ya kugawa vipeperushi vya maisha,tutakufira.......rudia uone k la mama yako.

Anonymous said...

Ahahahahahah namjua mindu huyo ni ms***e sn ana sifa sn wakat ni dereva tu wa tbl khaaaaaaa