22.11.13

Thursday, August 01, 2013

(New Audio) Ommy Dimpoz ft J Martins - TUPOGO

10 comments:

Anonymous said...

Wimbo wa kawaida sana huu Choka

Anonymous said...

mzuri sana..tunasubiri video

Anonymous said...

sasa J Martins ndio kaimba nini

Unknown said...

wimbo wa ukwel xana kupta nymbo zake zote Kwenye ukwel 2xeme

Anonymous said...

Wimbo mbovu xnaaa jamaa kapotea

Gbro said...

Yaani umenishangaza sana, unajua kuimba, unamelody nzuri bt unajiimbia vimistari vi3 tu then tupogo tupogo, na huyu jmartin pia kabana mashairi. Huu ni ufisadi wa sanaa, haujautendea haki huu wimbo. Yaani chorus ina dk nyingi kuliko verse? Naipa 2/5,

Anonymous said...

Bonge la Track next level 2pugooooo. Niger and bongo flavour combination Tishaaaa sanaaa dimpoz

Anonymous said...

nymbo nzuri bt jmartin hajatenda haki kabsaaa?

Unknown said...

Bado tupogo

Anonymous said...

Wimbo mbayaaaaa