Kutoka jozi town South Africa,kijana aliyesikika kwenye wimbo wa wazi http://www.hulkshare.com/6swg0emhizcw akiwa
na wasanii kibao wa Tanzania na Kenya ikiwa ni pamoja na JCB,Niki wa
Pili, G Nako,Bonta na Cannibal aja tena, round hii akitambulisha single
yake mwenyewe inayoitwa Gladiator,hii ikiwa ni baada ya makubaliano ya
kikazi kati ya Thai a.k.a Tha 1 na Label yake ya Protunez na Producer
John B wa Grandmaster Records ambaye ndiye aliyefanya ngoma ya Wazi
Song Credits
Song; Gladiator
Artist; Thai a.k.a Tha 1
Protunez Music SA
Powered by Grandmaster Records Tz
No comments:
Post a Comment