Kwa week hii haya ndio majibu ya kura zetu tulizopiga. Bado Rama Dee anashikilia nafasi ya kwanza kwa week ya pili sasa, huku akifatiwa na Lady JayDEE ameshikilia week ya pili namba hii hii ya pili. Kwa upande wa Joh Makini week hii wimbo wake umepanda kutoka namba 4 mpaka namba 3. Kwa upande wa msanii Baghdad yeye alivyoingia tu week iliyopita namba 10 week hii imepanda hadi nafasi ya 6. Week hii nyimbo mbili zitakazotoka ni wimbo wa DJ Choka pamoja na wimbo wa Mansu-Li ambazo zimepata kura ndogo.
Je ni wasanii gani wataingia katika top 10 kwa week ijayo..? stay tune
5 comments:
Xafi xana choka
safi sana choka
weka kwenye chat wimbo wa Nikki na Joh
mwambaa wakaskazini vs nikki wa ii
mrs super star
Post a Comment