Wakati unaingia nyumbani kwa bilionea Erasto Msuya hili ndio bango lililokua limewekwa.
Hapa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.
Hii ndio nyumba ya milele ya bilionea Erasto Msuya ikiandaliwa.
Kwa picha za matukio zaidi kuhusiana na mazishi ya bilionea Erasto endelea kutembelea www.kingjofa.blogspot.com
6 comments:
RIP Bilionea wetu
duh hata siamini kwa kweli
Siamini.hakuna aliyekuwa mshauri mzuri kama wewe
Jaman kama uhai ungekuwa unanunuliwa bas huyu jamaa angenunua!
Jaman kama uhai ungekuwa unanunuliwa bas huyu jamaa angenunua!
My The Lord rest you in peace E.Msuya
Post a Comment