22.11.13

Friday, August 09, 2013

(Photo's) Yaliyojiri kwenye sikukuu ya Wafanyakazi (Nane Nane) kwa hapa ARUSHA

 Jana nilipata nafasi yakutembelea mabanda kwenye sikukuu ya wafanyakazi nane nane ambapo sherehe hizi zilikuwa zipo maeneo ya Njiro hapa Arusha. Nilikutana na marafiki wengi na hizi ni baadhi ya picha ambazo nilipiga

 Wakati napita pita zangu basi kuna banda la kinywaji kipya kinachoitwa LEO wakaona wanipe zawadi ya kinywaji hicho ili na mimi nikitesti. Naambiwa kinywaji hiki kinatengenezwa kule Bagamoyo

1 comment:

Anonymous said...

jipange kaka iyo ni siku ya wa kulima sio ya wafanyakazi kama ulivyo potosha...