Borry Mbaraka
(BORRY 'B' THA PILOT) has been in the broadcasting industry for long and still maintaing the Radio material now managing
TRIPLE 'A' FM from
ARUSHA.Jengo la Triple A linavyooneka kwa mbele likiwa kwenye matengenezo ya mwisho mwisho
Upande huu wa pili ni bar ambayo nayo ipo kwenye matengenezo ya nguvu
Hapa ni ndani ya club na huu ndio muonekano wa Dance Flow ya Triple 'A' Nite Club.
Hapa ni kwa wale watakao kodisha ukumbi kwa ajili ya harusi na sherehe mbali mbali katika ukumbi
BLUE FAME Triple 'A' basi watakutana na viti kama hivi na vingine kibao.
Sehemu ya watangazaji wanapofanyia mkutano
Nadhani mashine ya DJ unaiona mwenyewe mpyaaaaaaaaaaaaaaa
Muonekano wa studio unavyoonekana
Saa nzuri ukutani.
Ngazi zakupandia studio
1 comment:
Great photos Brother.
I appreciate for your photos and keeping us "close" to your tour.
Blessings Brother
Post a Comment