22.11.13

Monday, May 31, 2010

SHUKURANI kutoka £OVELY GAMBLE.

CEO Frank Eyembe, Managing Director Baraka Baraka wa Urban Pulse

Tawala,viongozi na wafanyakazi wa African Star, Afro Euro Events Management, Buzzie Production, Manamba Studio na Urban Pulse.
Wanatoa shukurani zao za dhati kwa Watanzania wote waliojitokeza usiku wa juzi 29/05/2010 kwenye onyesho maalum la ‘£OVELY GAMBLE’ kuchangia watoto wanaoishi na vijirusi vya UKIMWI nyumbani Tanzania. Watoto hawa wanaangaliwa na TANZANIA MITINDO HOUSE. Hakika ya kweli mmeoonyesha umoja ambao tunauthamini na hatuto usahahu.
Vilevile tungependa kuwatambua watu wafuatao, ambao kwa njia moja ama ingine wamesaidia sana kufanikisha Onyesho hili maalum

UBALOZI WA TANZANIA (mama Balozi na Maafisa wote wa Ubalozi)
TANZANIA ASSOCIATION zote Kitaifa na matawi ya Reading, Birmingham na Soctland
BONGO FLAVOUR (Dixon na Flora)
TMH (Khadija Mwanamboka)
SWIFT FREIGHT (Abu Faraji)
SWAHILI TRAVEL AGENCY (Tino)
VINCENT BAR (Kalinga na Gado)
MAMA MAYOR (Mariam Nice)
NOCHA SEBE
MISS YVONNE
WITENGERE KITOJO
TEGEME CHAMPANDA
FRANCIA CHENGULA
FREDDY MACHA
AYOUB MZEE
RASHIDI KAWAWA
ALLY MUHIDINI
GLOBA PUBLISHER (Abdalah Mrisho)
BONGO STAR LINK (Dj Choka)
JIACHIE (Ahmad Michuzi)
KULIKONI UGHAIBUNI ( Evearest Chahali)
MICHUZI (Ankal Issa Michuzi)
MISS JESTINA GEORGE (Tina George)
FASHION 8020 (Shamim Mwasha)
NURU THE LIGHT (Nuru)

Vyombo hivi na Watanzania hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kufanikisha Onyesho hili maaaluma la mchango wa kihiyari. Mungu awaongezee na tuendeleze umoja huu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI WATANZANIA

No comments: