22.11.13

Friday, June 25, 2010

SHOW YA GEITA NI USIKU HUU.

Steji ndio kama hivi unavyoiona ikiwa imepambwa

Mkazi wa Geita akichukua picha kwa wasanii

Presenter wa show ya leo ni Fredwaa kutoka Radio Free Africa.

2 comments:

Anonymous said...

Aika meku, shimbonyi nascha meku,
Mwana na miss sana vipindi vya Freeeedwa, hope nikirudi bongo atakua bado yuko radio free africa.
Ila kwanini RFA wasiwe na online radio bwana????? hebu mzee mzima fredwa ongea na Bosi wako Mheshimiwa mfanye mambo. Sio gharama kabisa. Tulio nje tunakosa mambo mazuri ya vipindi ambavyotulivizoea nakuvipenda kisa eti hamtaki tu kuwa online.
Mdau Visiwa vya mbali sana!

Unknown said...

he iz da men...kp it up ya ol am rit tbr hp 2 c yo aigttt Dj Chokaaa...holla...