22.11.13

Saturday, June 26, 2010

SHOW YA JANA MJINI GEITA.

Presenter kutoka Radio Free Africa Fredwaa akiwa na MC kutoka Geita ndio waliokuwa ma MC wa shughuli nzima

Watu wa Geita wakiwa kwenye viti vyao wakingojea show ianze

Master Jay na Marco Chali waliitwa kwa steji ili kuifungua show

DJ Choka akiwa tayari kwenye mashine.

Wadau mbalimbali walikuwepo

Izzo B alikuwa mtu wa kwanza kufungua show

Akafuatia Quick Rocker

Akaja Joh Makini na Bonta

Hatimaye shughuli ilifungwa na Chege na Mh. Temba

Baada ya show bwana lazima mashabiki wapige picha na msanii wanaompenda, hapa nilimfumania Mh. Temba akiwa anagombaniwa kupiga picha huku Temba akiwajibu
HAPA NI PICHA TU UKINIIBIA PATACHIMBIKA.

No comments: