22.11.13

Saturday, June 26, 2010

TUKAANZA MTANGAZO YA KUZUNGUKA NA GARI.

Ukumbi wa Linaz ukionekana kwa nje.

Huu ndio ukumbi utakao tumika leo usiku hapa Bukoba Linaz.

Gari la PA likiwa tayari kwa kuzunguka na wasanii

Hii ni baadhi ya mitaa ya huku Bukoba ambayo tulikuwa tukipita na kukutana na watanzania wenzetu.

1 comment:

Ima (The Designer) said...

kaka Big up sn coz unatujuza mambo mengi sn kwa ss ambao hatuja fika mikoa hiyo, endelea kutuletea twaswila mbalimbali ili nasi tuendelee kuelimika na kupata burudani. Thank's Bro