22.11.13

Saturday, June 05, 2010

UZINDUZI WA ALBUM YA CHEGE NA MH. TEMBA PALE CLUB SUN CIRRO.

Kama unavyoona pale ukutani utambulisho wa show ulikuwa hivi, sho yao ilikuwa nzuri na inaonyesha jamaa walijipanga sana. Hapo baadae nitawawekea viclip kidogo japo mjisikie na nyie mlikuwepo pale ndugu zangu.

Hapa bwana ndugu yangu KR kama umeshindia makande yanatoka yoteeee kwa style hii.

Show ya mwisho au wimbo wa mwisho ulikuwa ni RMX ya wimbo wa Mkono juu ambao wameimba Chege, Temba, Wahuu na Godzilla.

2 comments:

Ima (The Designer) said...

Kaka Show ilikuwa powa sn vijana walikamua vya kutosha, ila mwisho wakati tuko back stage kuna bwege ilijifanya msoja na akawa anakomalia magwanda waliyo vaa chege na temba ila kiutu uzima tuka sawazisha. Big Up

Unknown said...

yeah,kwakuzitazama picha napata taswira jinsi kimbembe kilivyokuwa...big up!!!