22.11.13

Wednesday, June 09, 2010

WAKAZI WA ZNZ MPOOOO...

MAMBO VIPI KAKA? POLE NA KAZI. KAKA MIMI NAITWA MUSLIM NASSOR NAFANYA KAZI TELEVISION ZANZIBAR{ TVZ}
TULIKUWA TUNAOMBA MSAADA WAKO UTUTANGAZIE SHOW YETU AMBAYO ITAFANYIKA SIKU YA
UJUMAA TAREHE 11/06/2010 UKUMBI WA GHYMKANA KWA KIINGILIO CHA SHILINGI 5000 WASANII WATAKAO KUWEPO NI.
EXTRS BONGO IKIONGOZWA NA ALI CHOKI,
PROFESAR J,
HUSEIN MACHOZI,
JOHN WALKER,
RAS LION,
BERRY BLACK,
RICO SINGLE,
NA MWANADADA DORICA,
SHOW IMEANDALIWA NA PROGRAM YA TRIANGLE PAMOJA NA KONGA MOYO IKISHIRIKIANA NA JUPITER RECORDS NA AFRICA HOUSE HOTEL.

1 comment:

Anonymous said...

wewe muslim mbona mapepe? suala la show na unapofanyia kazi tvz linahusiana vipi? ulikuwa useme una shoo kwisha kazi. sasa suala la unapofanyia kazi linaingiaje hapo?

kwa haraka haraka mtu atajua kuwa hiyo shoo imeandaliwa na tvz lkn kwa kuwa hawana uwezo wa kuitangaza ndio wameamua kutumia hii blog.

jirekebishe katika kauli zako ndugu.