22.11.13

Tuesday, July 13, 2010

KIJANA MWENYE KUTUMIA AKILI NYINGI AWAPO KAZINI.

Anaitwa Masanja Mkandamizaji kutoka kipindi cha Ze Komedi kinachorushwa kila alhamisi pale TBC1.
Huyu jamaa bwana huwa anatumia akili nyingi sana kufikiria jambo na kubuni misemo kadha wa kadha ili tu mashabiki wake waendelee kumpenda.
Jaribuni kumtembelea kwenye blog yake ili kujionea mambo mengi na kumjua zaidi.
www.mkandamizaji.blogspot.com

1 comment:

Anonymous said...

jamani mimi nimpenzi sana masanja mkndamizaji napenda anavyoekti yeye joti niwasanii wanaoaminika sasa basi amefungua blog yake nikawanaitembelea kila siku sas ananiboa sana maana nimda mrefu sana hajatuletea mambo mapya mwambie washabiki wake wanamiss mambo mapya ktk blog yake pls