22.11.13

Tuesday, July 27, 2010

RAPCITY MWANZA NAOMBA NIWAULIZE SWALI..?

Fareed Kubanda katika status yake ya facebook leo ameomba kuwaulizza wakazi wa nyumbani Mwanza maswali haya.

‎''RAPCITY MWANZA'' naomba mnisaidie haya yafuatayo:
1- Nahitaji kujua ni Hospital ipi inafaa kupelekewa Neti au Dawa za Malaria?
2: Eneo gani lenye Mazalia makubwa ya Mbu? (tunahitaji kulipulizia dawa)

NB:
The Human body with proper care will last a Lifetime.

5 comments:

Mzalendo said...

Kwani kuna hospitali isiyofaa kupelekewa vyandarua vya msaada wa Amerika? inajulikana karibu hospitali zote zianzomilikiwa na serikali hapa Tz zina upungufu mkubwa wa vitanda,vyandarua,mashuka na ukosefu wa madawa.

Anonymous said...

Vijijini haswaa ndo panapohitika kupelewa hudma hizi,huku mjini bwana angalau watu wana elimu kuhusu ugonjwa huu na jinsi ya kijikinga nao,
BIG UP FID

Anonymous said...

ngosha aaaaaaa

Mbunge wa Maisha Rock C said...

Kujua sana mpaka unaharibu? Ngosha,inakuwaje huna link na watu wa Mwz kiasi kwamba mpaka urushe kwenye FB?wenyeji wangapi wa mkoa wa Mwz ambao wanatumia FB na wapo kwenye list yako ya marafiki ambao wanaweza kujibu ilo swali?grown up dude,kama wewe ni balozi wa kweli, nenda kafanye visibility kabla ya tukio...huo ndo ueledi.

Anonymous said...

Nyamikoma dispensary-Magu,Mwanza.
Wasiliana na Dr.Wambura Kinoko.