22.11.13

Sunday, August 01, 2010

HAPPY B,DAY MA HOMIE OMBENI.

Leo ni siku anayokumbuka kuzaliwa mdogo wangu Ombeni kutoka G5click. Nilikuwa sijui mtu mzima ndio naamka nacheki simu yangu inanikumbusha.
Nakutakia maisha mema mdogo wangu na kila jambo ulifanyalo liwe na maendeleo mzuri yatakayokufanya uje kuishi vizuri na familia yako hapo baadae.
ONE.

Nelly, Dj Choka & Ombeni.

No comments: