Midam hii niko kwenye saloon ya dada zangu maeneo ya Sinza Mori inayojulikana kwa jina la Jajos Saloon.... Kiukweli nimefurahi sana kukutana na dada zangu hawa, kuanzia kushoto ni Jajos Mwenyewe na kulia kwangu ni Shemu langu la ukweli Mamuu.
4 comments:
Anonymous
said...
Oops! you look good.. i love the colors( back ground)
4 comments:
Oops! you look good.. i love the colors( back ground)
Jajos umependeza, ila sasaunanenepa sana usijiachie utaharibika. Lol!
huyu dada kapendeza na tatoo yake jamani...choka tuambiane ukweli bwana hao dada zako kweli au.....
Jajossss uko juu kama mawingu.Lv u dia.
Post a Comment